Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 2,792
- 3,951
Hello wakuu wa jukwaa hili
Nina huwawei tablet model T1 701u ina tatizo kwenye network inakubali 2G tu network inasoma kwenye internet iko slow sana nashindwa kuinjoi.
Nikichange pale kwenye network preferred yaani 3G haisomi kabisa inaonesha alama ya x kwenye network bar. Sasa nashangaa 3g ipo kila mahal nilipokua dar ilikua inasoma H vizur sana sasa ilipoleta shida nifanya hard reset naona bado.
Kuna mtu kanishauli nifanye hard reset so nikasema nipate ushauri wa wataalamu kwanza..