Wakuu kuna mtu amefanikiwa ku-unlock hii router.?
Mkuu kwani zinauzwa na Mtandao gani hizo
kwa kufanya Google search tu inaonesha zinaitaji NCK Codes
Na ili iweze kuwa Unlocked inaitaji ui downgrade Firmware then U Obtain Encrypted block kutoka kwenye hiyo MiFi ambayo inakua obtained from Hash Codes afu utumie hiyo Block ku generate NCK codes.
Ungeweza kutoa details zaidi kama inaomba codes ukiweka Foreign sim card?
Serial Number ya device pamoja na Hi-Link URL yake e.g 192.168.8.1
Zinatolewa na Smart ISP, nimecheck sana tutorials na kujaribu ku unlock bila kufanikiwa maana kwenye stage ya ku downgrade firmware ndio inafail ambayo ndio first stage, nishajaribu firmware from various sites na pia different laptops. Kuhusu Number of unlock attemps bado zipo 10 nikiweka simcard ya mtandao mwengine.
Ungetoa Jibu basi la URL inayotumika kwanza
Hiyo ni WiFi device hivo inatumia Hi Link WEB UI unachotakiwa kufanya ni ku connect Hiyo router kwenye USB port ya PC kutumia adapter yake
Then Switch Project Mode means ukienda device manager ukute UI Ports usipozikuta hauwezi downgrade firmware hata siku moja
Classical way ya ku switch project mode ni kutumia URL ya Router then unaongeza hayo maneno ya switchProjectMode.html
E.G
http://192.168.8.1/html/switchProjectMode.html
Ukishafanya hivo utaziona COM PORTS katika device manager na hapo waweza downgrade device yako\
Kama Njia ya hapo Juu haifanyi kuna Njia mpya wanatumia huawei mfano modem mpya za Tigo zinatumia njia hiyo hiyo
Kuna njia mpya wanatumia Huawei huenda ndo inatumika kwa device yako sema nimekuomba URL hata hauja care kuitoa
Download Dropbox - switchMode.zipAnha.. URL ni http://192.168.8.1
Download Dropbox - switchMode.zip
Unzip File afu Line application utakayokuta ndani then Bonyeza button ya Switch
Baada ya Hapo ukienda Device Manager utakuta COM ports
Hapo itakua tayari kui flash Firmware na hapo sasa waweza Zitafuta zile Hash codes
Download Dropbox - switchMode.zip
Unzip File afu Line application utakayokuta ndani then Bonyeza button ya Switch
Baada ya Hapo ukienda Device Manager utakuta COM ports
Hapo itakua tayari kui flash Firmware na hapo sasa waweza Zitafuta zile Hash codes
nimefata maelezo ila bado naona error ipo ile ile
Itakua WEB UI na Firmware unayoweka vimepishana
Nimewai pata error kama yako nikiwa nabadili modem yangu fom Stick to Hi Link
japo watalaamu wanasema Error code 19 means kuna dashboard inakua inajifungua ila haina uhalisia katika hii Context
Naomba U post Firmware unayotumia pamoja na WEB UI version
Yote utayakuta katika System info ya WEB UI
hizi hapa
Easy hiyo just need to extract the Encryptrd block from the modem and use to Get the Codes hii ndo trick mpya wanayotumia Huawei Sijajua kama Modem yako itakubali bila Downgrade ila If its the case i have connection na watu wa ku Generate Unlock codesThat i know of, problem is where to buy them..dc unlocker doesnt have this modem enlisted
Easy hiyo just need to extract the Encryptrd block from the modem and use to Get the Codes hii ndo trick mpya wanayotumia Huawei Sijajua kama Modem yako itakubali bila Downgrade ila If its the case i have connection na watu wa ku Generate Unlock codes
Ni India na Pakstan ndo code zinapatikana.goja nikiwa kwenye PC ntakutumia linkThat i know of, problem is where to buy them..dc unlocker doesnt have this modem enlisted
Ukienda Device Manager unakuta Ports zimesoma?Hii kitu ni pasua kichwa, mkuu utanisaidiaje connection ya kupata hizo unlock codes maana nshajaribu kila kitu.
Njia ya kupata hash codes ambazo ndio zitakuwa compiled kutoa unlock code inabidi kuzipata na dc unlock kwa kuingiza command, ambayo ukiweka inagoma. Hapo ndio kuna tatizo