Huawei loses access to Android and Google Services

Hadi wafanikiwe kutengeneza kila kitu chao kampuni itakuwa ishakufa.

Kutengeneza chip au processor si sawa na kuzalisha juice.
Ninaamini hawajalala, na ninaamini watafanya plan B, kumbuka simu yao ndiyo inayouzwa ndanii ya China.
 
No need to worry YET,
Huawei can no longer license Google’s proprietary Android operating system and other services that it offers. Instead, Huawei is now only able to use a public version of Google’s operating system through the Android Open Source Project. It means future Huawei phones will not have the Google services that users have come to expect on Android devices current devices will Continue to work .

Huawei has said it has spent the last few years preparing a contingency plan by developing its own technology in case it is blocked from using Android. Some of this technology is already being used in products sold in China, the company has said.
Tatizo hapa ni apps, playstore ina apps nyingi sana.. Hiyo OS mpya wataweza kushindana na gallery of apps from Android and IOS
 
Kwani mtu akinunua ndio sio mali yake? Hujajibu swali Android ni mali ya nani?
Kama umeshindwa kusoma na kuelewa misstari miwili tu ya mwanzo hutaelewa hata nikikuelezea kurasa nzima. Soma tena ujue tofauti ya mtengenezaji,mmiliki na mwanzilishi.
 
Back
Top Bottom