M mmingano Member Joined Apr 10, 2015 Posts 36 Reaction score 1 Apr 24, 2015 #1 Kwa mwenye kufahamu simu nzuri ya Huawei aniambie na gharama ikoje.
Mathematician JF-Expert Member Joined Nov 8, 2009 Posts 327 Reaction score 111 Apr 24, 2015 #2 kwenu mtwara? mmingano ya tandika?
H hhsmakwato Member Joined Mar 19, 2015 Posts 97 Reaction score 51 Apr 25, 2015 #3 Huawei ascend mate 7 nadhani kweny laki 7 Huawei honor 6 na 6 plus zote ziko poa nadhani kwenye laki 4 hadi 5.5 Huawei ascend G7 kwenye laki 5
Huawei ascend mate 7 nadhani kweny laki 7 Huawei honor 6 na 6 plus zote ziko poa nadhani kwenye laki 4 hadi 5.5 Huawei ascend G7 kwenye laki 5
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,152 Reaction score 1,855 Apr 25, 2015 #4 huawei ascend mate 7 ndio mpango mzima, bei ni laki 9 na co laki 7 kama alivyosema jamaa apo juu! iko poa xn
huawei ascend mate 7 ndio mpango mzima, bei ni laki 9 na co laki 7 kama alivyosema jamaa apo juu! iko poa xn
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 25, 2015 #5 Huawei hizi za laki hadi laki 2 na... Nyingi za Hizo ni mediatek hazina tofauti na tecno. Kama unataka simu tofauti na tecno, simu itakayokuhakikishia kupata updates basi tafuta hizo huawei za bei kubwa
Huawei hizi za laki hadi laki 2 na... Nyingi za Hizo ni mediatek hazina tofauti na tecno. Kama unataka simu tofauti na tecno, simu itakayokuhakikishia kupata updates basi tafuta hizo huawei za bei kubwa
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,730 Reaction score 128,230 Apr 25, 2015 #6 mmingano said: Kwa mwenye kufahamu simu nzuri ya Huawei aniambie na gharama ikoje. Click to expand... Kishkwambi Tsh 13,250!!!!!!!
mmingano said: Kwa mwenye kufahamu simu nzuri ya Huawei aniambie na gharama ikoje. Click to expand... Kishkwambi Tsh 13,250!!!!!!!