Huawei Honor V8

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,624
Reaction score
8,441
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Nimekuja na issue ambayo naamini ni ndogo sana kwa wazoefu wa mambo ya technology.

Ipo hivi, mimi ni muagizaji wa bidhaa china kupitia kikuu. Hivi juzi kati niliagiza mzigo ambao ndani yake palikua na simu aina ya Huawei honor v8.
Kusema kweli nimependa muonekano wake na uwezo wake maana ya Internal storage na kasi yake pia.
Ila ina shida moja. Hii simu sehemu kubwa ni lugha ya kichina na system yake sio android niliyoizoea na haina playstore.
Sasa nilikua nahitaji msaada kwa wazoefu. Ni nini naweza kufanya ili kuifanya itumie system ya android kama simu nyingine.

Napenda kuwasilisha
 
Si unajua Huawei wamegombana na Google? ndo matokeo yake hayo.anza TU kujifunza kichina
 
Si unajua Huawei wamegombana na Google? ndo matokeo yake hayo.anza TU kujifunza kichina
Acha kudanganya bana, ban ilishaindolewa na kwa toleo hilo halikuwa na ban yoyote, hiyo ni Chinese version sio Global Ila kuna namna ya kuweka play store
 

Hongera sana kwa kuagizia simu kutoka China moja kwa moja ila siku zijazo hakikisha simu ina Global Firmware na sio Chinese Firmware.
Zenye android ya kichina huwa cheaper zaidi.

Kuhusu hiyo honor, nakushauri ufanye installation ya Global firmware. Unaweza pata namna online au kwa msaada wa watalamu kama

All the best
 



Try that link...
 
Usihofu sana,wachina wako kibao kariakoo pitia pale wakupe ufafanuzi wa usichoelewa...
 
Inawezekana mkuu,tuwasiliane.
 

NA MIYE UMENIASAIDIA SANA,NILIMWAGIZA MTU YUPO CHINA ANINUNULIE SIMU Xiaomi mi 9se,acha nimtahadharisha asijechukua Chinese firmware achukue Global...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…