Habar wadau. Natumia simu tajwa hapo juu , internal memory ya hii simu ni 4gb ambayo inanikaba sana kwenye swala ya kuupgrade na kuinstall some new app. Je ukiachana na kuroot kuna njia nyengine tena ambayo naweza tumia kuinstall some app kwnye SD na kama hakuna je app ipi ni maridhawa kuroot simu tajwa?? Natanguliza shukran kwenu