K kapujege Member Joined Aug 4, 2012 Posts 34 Reaction score 6 Aug 12, 2013 #1 je,hii simu ni nzuri?.nisaidieni kwa kunipa sifa zake.Nahitaji kuinunua.
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Aug 14, 2013 #2 Uzuri wa mke ni kumfurahisha mume kutokana na mahitaji yake, vilevile kwenye simu, uzuri wa simu ni kumfurahisha mtumiaji wake. wewe unataka hiyo simu kwa matumizi yapi?? bila hicho hutuwezi jua uzuri wa hiyo simu kwa mahitaji yako.
Uzuri wa mke ni kumfurahisha mume kutokana na mahitaji yake, vilevile kwenye simu, uzuri wa simu ni kumfurahisha mtumiaji wake. wewe unataka hiyo simu kwa matumizi yapi?? bila hicho hutuwezi jua uzuri wa hiyo simu kwa mahitaji yako.
borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Aug 26, 2013 #3 Simu iko poa sana ila charge uvumilie tu