Huawei ascend y300 inahitajika fasta

Taylor Gang Jr

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
131
Reaction score
7
Habari wakuu...Nina kilo na 30
Laki 1 na 30 mwenye nayo ani pm fasta tufanye biashara
 
kama uko mwanza hii hapa nakupa hata kwa 125,000/= 0652013393
 
Ipo mpya kbsa kwenye box lake. Si ya tigo. Inaingia laini zote-200,000 . Kama uko tayari ni pm. Bei ni fixed
 
mi ninataka 80000 tu kama uko dar au moro nakuletea ulipo, nicheki 0769455655
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…