zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
Simu tajwa hapo juu inaitajika bajet laki 1 hiwe yatigo full box bila kusahau chaja na headphone isiwe na scratch yoyote iwe imetumika muda mchache tokea hinunuliwe km una PM tufanye biashara nipo Dar es salaam
We hun shida na cm kabisa, yaan mtu aend mliman atoe 165 den aje akuuzie 100 tena unaweka na condition iwe full box! Mtu anauziwa 150 na sio full box! We kama unataka cm na hujui bei we sema tu nahitaji cm na sio uweke bei zako za ajab hapa! Hujistukii kuna vision 39 tu waliona post yako! Jithd ukiandka kitu uwe kama great thinker!
Samsung galaxy s4 inauzwa laki 9 mpaka milioni na ushee kwenye maduka ya samsung lkn mkononi unapata kwa laki 6 kitu original na full box una shangaa y 300 kupata kwa laki moja? Kama ww huna kausha usimkatishe tamaa
Sio kama sina unajua m ndo nafany hyo business na lale agrey kkoo kama unapajua ndo npo sana nend pale utangaze shida ya y300 kwa laki uone kama utapata! Samsung n mamb mngne kabiaa ucfananishe na huawei kijana
acha ulevi wa viroba simu ya 195k kwa 100k tena full box..
labda uuziwe betri na earphone tu
Me wa agrey lakin hiyo ni 130[/QUOTE
nimeku pm