Zero_and_One
Member
- Jun 4, 2019
- 43
- 92
- Thread starter
-
- #21
Nakufuatilia vizuri mkuu. Kuna swali nataka kuuliza ,Je unawezaje sasa kupangilia Mfano upande wa kushoto yakae maneno ,Kulia zikae links katikati labda picha na maelezo na form chini ? Yani tunapangiliaje pangiliaje ili muonekano uwe mzuri
Sawa kaka tu akufatilia vyema ingependeza utundie group la whatsapAsante kwa swali zuri.
ukitaka kupangilia vitu katika website .Mfano kushoto kuwa na hichi ,juu ya website kuwa na hichi ,chini kuwe na hichi n.k.
ITAKUBIDI KUJIFUNZA CSS NA BOOTSTRAP. Html peke yake haiwezekani .Ndo maana mara nyingi tunasema Html and Css.
<input type="radio">
<input type="checkbox">
Uweke na mawasiliano yako ili iwe simple kukupataTUENDELEE .NA SOMO
LINKING TO A SPECIFIC PART ON THE SAME PAGE.
-->Page ikiwa na maelezo mengi sana tutakuwa tunaweka link ili kuweza kuspecify katika eneo husika ndani ya page hiyo hiyo moja.
-->Tunatumia id attribute . Value ambao ipo ndani ya id attribute inatakiwa ianze na herufi au underscore .(usianze kuandika id yako kwa namba) .Tutaona katika mfano wa html code .
View attachment 1273540
Muonekano wa html code katika browser.
View attachment 1273543
SUMMARY:
-->katika href attribute ndani ya <a> element ina andikwa #ikifuatiwa na jina la id yako. id attribute inawekwa katika different elements na inapidi kila element iwe na jina lake tofauti.
-->mtu akiclick Top atapelekwa mpaka juu kabisa ya website kwasababu top ni link itakayo mpeleke kwenye heading .User akiclick kwenye Operating System atapelekwa moja kwa moja sehemu ilipo id yenye Operating.
IMAGES
Jinsi ya kuweka picha katika web page .Picha inaweza kuwa logo au picha ndani ya paragraph au mchoro pamoja na maelezeko yake.
JINSI YA KUWEKA PICHA KATIKA WEB PAGE.
-->Ili kuweka picha tunatumia <img> element (special element for image) .
-->Ndani ya <img> tutakuwa na src attribute.Mfano <img src="jinalapicha.jpg" />
-->Sio lazima iwe .jpg inategemea na properties za picha husika.
-->Unaweza pia kuweka picha ambayo ndani yake kuna link.
Mfano : <a href="http:// #"> <img src="jinalapicha.jpg" /> </a>
-->Ikiwapicha inapatikana katika folder nyingine basi tutaongezea na jina la hiyo folder ikifatiwa na jina la image.
Mfano:
<img src="jina-la-folder/jina-la-picha.jpg" />
-->Ndani ya <img> element kuna alt attribute pia hutumika .Ikitokea picha katika browser haionekani pasi maneno yaliyopo kwenye alt attribute yatakuwa display.
Mfano : <img src="jinalapicha.jpg" alt="tv" />
MFANO WA HTML CODE
View attachment 1273634
MATOKEO KATIKA BROWSER
View attachment 1273640
TUNAENDELEA NA TABLE MUDA SIO MREFU
bro Weka # zako za simuNajua kuna maelezo mengi sana kuhusu hivi vitu ila naomba kuchukua muda wangu na kuweza kuelezea kwa wale ambao wanataka kuanza kuvijua hivi vitu.(beginners)
Html ni nini?
Html ni Hypertext Markup Language. Ukitaka kuandika maneno ambayo pindi ukifungua Website yako unataka kuyaona basi utatumia Html kwa mfano Kichwa cha habari, paragraph,maandishi mengine n.k.
Html sio programming language.
Tutahitaji vitu gani ili tuweze kuandika Html code?
Kuna tools nyingi ambazo unaweza kutumia kuandikia html.Mfano Notepad++, Visual Studio Code,Sublime Text n.k.
Napendelea tutumia Visual Studio Code kwasababu ina support Emmet (tutaelezea vizuri baadae)
Je naweza kuziona html code katika Firefox, Internet Explorer, Safari, Chrome and Opera?
Ndio,unaweza kuziona code zote za html katika website yoyote,unatakiwa kubonyeza ctrl+u katika web browser nilizotaja hapo juu mfano Chrome , Internet Explorer.
View attachment 1272402
Hizi ni baadhi ya JF html code.Usijali tutazielewa baadhi ya code zilizoandikwa humu. Inahitaji muda kwa wale Beginners.
Vitu ambavyo tutaanza navyo
- Structure
- Text
- Links
- Images
- Tables
- Forms nk.
1. Tuanze na Structure
Fikiria katika habari ambazo umewahi kuzisoma katika magazeti. Katika magazeti utakutana na:
-Kichwa cha habari
-utakutana na subheading
-utakutana na picha
-utakutana na maandishi(text)
Vyote huvu hutumika pia pindi unapotaka kutengeneza web page katika website yako.
Simple structure ya Html.
<html>
<head>
</head>
<body>
</body>
</html>
Hivi ni vitu vya msingi ambavyo tutakuwa tunaandika mara kwa mara. Pindi tukiwa tunaandika Html code.
ANGALIZO: Hizo structure za html hazijakamalika .Tutakuwa tunaongezea vitu pindi tutakavyoendelea.
-->katika html cha kuzingatia tutakuwa tunafungua na kufunga element muhimu sana.Mfano <html> </html>,
<body> </body>, <head> </head> n.k. kumaanisha mwanzo wa hicho kitu na mwisho wake.
Ni jinsi gani naweza kusave Html code?
-Tunatakiwa tusave file zetu zote jinalafilelolote.html
View attachment 1272422
Mfano wa output ambapo code zake ni
View attachment 1272424
Maelezo:
Ukitaka kuandika heading , tunatumia <h1> </h1> ndani ya element h1 ndipo heading yako inapoandikwa.refer html code above.
Kama kutakuwa kuna heading (sub heading) zingine basi utatumia <h2> </h2> au <h3> </h3> au <h4> </h4> au <h5> </h5> au <h6> </h6>
Ukitaka kuandika maelezo ya kichwa cha habari basi tunatumia <p> hapa ndani tunaandika maelezo ya kichwa cha habari </p>
Ukitaka kuanza mstari mwingine browser itautambua kwa <br> .lakini sio wewe mwenyewe kuanza mstari mwingine hiyo haitambuliki.
Nitaendelea muda sio mrefu, likes zenu muhimu jamani.
Images zimegoma Ku display nifanyeje?TUENDELEE .NA SOMO
LINKING TO A SPECIFIC PART ON THE SAME PAGE.
-->Page ikiwa na maelezo mengi sana tutakuwa tunaweka link ili kuweza kuspecify katika eneo husika ndani ya page hiyo hiyo moja.
-->Tunatumia id attribute . Value ambao ipo ndani ya id attribute inatakiwa ianze na herufi au underscore .(usianze kuandika id yako kwa namba) .Tutaona katika mfano wa html code .
View attachment 1273540
Muonekano wa html code katika browser.
View attachment 1273543
SUMMARY:
-->katika href attribute ndani ya <a> element ina andikwa #ikifuatiwa na jina la id yako. id attribute inawekwa katika different elements na inapidi kila element iwe na jina lake tofauti.
-->mtu akiclick Top atapelekwa mpaka juu kabisa ya website kwasababu top ni link itakayo mpeleke kwenye heading .User akiclick kwenye Operating System atapelekwa moja kwa moja sehemu ilipo id yenye Operating.
IMAGES
Jinsi ya kuweka picha katika web page .Picha inaweza kuwa logo au picha ndani ya paragraph au mchoro pamoja na maelezeko yake.
JINSI YA KUWEKA PICHA KATIKA WEB PAGE.
-->Ili kuweka picha tunatumia <img> element (special element for image) .
-->Ndani ya <img> tutakuwa na src attribute.Mfano <img src="jinalapicha.jpg" />
-->Sio lazima iwe .jpg inategemea na properties za picha husika.
-->Unaweza pia kuweka picha ambayo ndani yake kuna link.
Mfano : <a href="http:// #"> <img src="jinalapicha.jpg" /> </a>
-->Ikiwapicha inapatikana katika folder nyingine basi tutaongezea na jina la hiyo folder ikifatiwa na jina la image.
Mfano:
<img src="jina-la-folder/jina-la-picha.jpg" />
-->Ndani ya <img> element kuna alt attribute pia hutumika .Ikitokea picha katika browser haionekani pasi maneno yaliyopo kwenye alt attribute yatakuwa display.
Mfano : <img src="jinalapicha.jpg" alt="tv" />
MFANO WA HTML CODE
View attachment 1273634
MATOKEO KATIKA BROWSER
View attachment 1273640
TUNAENDELEA NA TABLE MUDA SIO MREFU
Images zimegoma Ku display nifanyeje?