htc one inahitajika in good condition

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Sim tajwa hapo juu inahitajika bajet yangu ni laki mbili lakini iwe ni mpya au haijachakaa,kama utapenda kula laki mbili hzo pm!
 
Duu htc one laki mbili???
 
Kaka ndio bajet yangu sema wewe niongeze ngap?
 
Sim tajwa hapo juu inahitajika bajet yangu ni laki mbili lakini iwe ni mpya au haijachakaa,kama utapenda kula laki mbili hzo pm!

Htc 1,alitoka kama mshndan wa s4..
Unaweza kuja na kusema unahtaj s4 kwa laki2.??
Jiulize kisha edt tangazo lako..
 
Ongeze laki nne na nusu labda nikupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…