HTC wako vizuri mkuu. na wana technolojia nzuri ya utengenezaji. hivyo vitu vyao vingi kwa hivi sasa viko vizuri sana, na wanaonyesha wanazidi kuboreka. pia wanatumia Operating Systems za Android na Windows. Mtazamo binafsi
Karibuni sana
Godfrey Electronics Tanzania