Utakuwa umedownload na kuinstall applications nyingi na hivyo kupunguza sana RAM. Jaribu ku uninstall applications ambazo si za lazima sana kuwepo muda wote kwenye home screen uone matokeo.Mfano kama una video downloader unaweza kuiondoa na pale unapoihitaji unainstall ukimaliza kazi una uninstall.