HTC Desire SV for sale

HTC Desire SV for sale

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,238
Reaction score
12,611
Nice phone going cheap,Nahitaji pesa ya fasta,call for business at 0716 676 947.
 
Huwa mnakurupuka tuu bila maelezo ya kutosha.sasa weka picha basi
 
Huwa mnakurupuka tuu bila maelezo ya kutosha.sasa weka picha basi

Sijajua hiyo haraka ni ya nini? Basi itabidi nasi tununue kwa Mali kauli!

Unatakiwa uweke specs japo kidogo na picha mbili tatu kumrahisishia mnunuzi kufanya uamuzi. Japo kwa ufupi, mnunuzi anahitaji kujua kwa nini unaiuza , ina tatizo gani, n.k.

Hata siku nyingine vitu hivi usivisahau!
 
It's likeliness,simu haina tatizo wala michubuko.
 

Attachments

  • 1424670937524.jpg
    1424670937524.jpg
    15.7 KB · Views: 80

Similar Discussions

Back
Top Bottom