Mbnative
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 332
- 77
Wadau nina omba msaada wa kitaalam,nina miliki simu tajwa hapo juu,lkn cha kushangaza inasoma EDGE tu..mwanzo nilifikiri ni sababu ya eneo nililopo lkn niliposafiri ktk mikoa mingine hali ilikuwa hivyohivyo..hata nilivyoamua kujaribu line zingene.
Naomba ushauri nifanyaje ili niweze kufurahia 3G .
Naomba ushauri nifanyaje ili niweze kufurahia 3G .