king Chuga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 510
- 52
Desire zipo nyingi, be specific!
izi simu hazifai zinasumbua chaji sana..
izi simu hazifai zinasumbua chaji sana..
Duuh'
Ahsante njemba kwa tahadhari.
hivyo visimu havikai charge, ni utumbo mtupu, viko weak hata kwenye internet .......wauzie wasio vijua
Yangu haiko weak kwenye internet.....infact iko perfect....na chaji ni kama smartphone nyingine tu nilizowahi kutumia...usigeneralize.....