HTC desire 816t: Msaada kuconnect WCDMA

HTC desire 816t: Msaada kuconnect WCDMA

mfuachuma

Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
18
Reaction score
6
Habari wakuu!
Natumai wataalamu wa humu ndani watanisaidia.
Nililetewa zawadi kutoka china, simu aina ya HTC desire 816t. Specifications zake zinaonesha ina uwezo wa GSM, WCDMA mpaka 4G LTE networks. Na kwenye mobile network settings nimeselect option ya GSM/WCDMA auto, lakini muda wote simu inaconnect to Edge. Sijui tatizo lipo wapi. Tafadhali mwenye kujua sababu inaweza kuwa nini na zaidi, solution yake.
Nina imani hapakosi solution jukwaa hili kama ilivyo ada.
Asanteni.
 
angalia access point setting make sure APN iwe internet
 
Ingia settings/data connection /3G service/enable 3G...then chagua line unayotaka kutumia 3g kama simu yako ni double line km sio double line enable 3g nadhani itakuwa haijaweka kwny 3g
 
Ingia settings/data connection /3G service/enable 3G...then chagua line unayotaka kutumia 3g kama simu yako ni double line km sio double line enable 3g nadhani itakuwa haijaweka kwny 3g

Sorry nimechelewa kujibu. Simu ina line moja. Model hii ilitengenezwa kwa both single au dual SIM. Hii yangu ni ya single line, so ile slot ya pili ipo blocked toka kiwandani. Na settings zipo kwenye 3G.
Thanks!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom