Nimeitwa kwa ajili ya kufanya interview na hawa jamaa wa HR solutions,kuna nafasi ya kazi nili apply lkn mpaka sasa sijajua ni kampuni gani?kwa yeyote aliyewahi kufanya mahojiano na hawa jamaa pleas tufahamishane huwa wanahitaji details gani haswa?
Hawanaga nafasi ila ikipatikana kulingana na cv zako watakuambia uende kwa kampuni husika so we nenda na general ideal ya nafasi uliyoomba pia kumbukumbu muhimu utumapo maombi kaka.
Hawanaga nafasi ila ikipatikana kulingana na cv zako watakuambia uende kwa kampuni husika so we nenda na general ideal ya nafasi uliyoomba pia kumbukumbu muhimu utumapo maombi kaka.