Nimejaribu kupitia mitandao tofauti nadhani Sound & Vision Ltd ambao wapo Arusha ndio wanauza bei rahisi tofauti na wengine.
Mwezi ujao nitapitia ilo duka kuiangalia kama bado itakuwepo, kama itanivutia zaidi ya laptop niliyonayo basi nitaichukua.
View attachment 838094