Hp Pavilion X360 display inch13.3 na touch yake

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,226
12,948
Nahitaji touch na kioo cha inchi 13.3 slim mkanda mdogo,

Hiii touch huwa inashikana na hiyo display yake hivo kama kuna mwenye nayo aina hii ya pc ambayo imekufa mothetboard yake kioo kizima na touch iko fresh anichek.

0713 580 332
Fundi computer
 
Agiza nje tu bro. eBay kuna seller anaitwa LCDKings. Mm nilipata kioo changu ndani ya week 2
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…