hiyo inawezekana kwa kufanyia reflow, tatizo ni kwamba huwa si solution ya kudumu, itaenda baada ya muda itazingua tena, itabidi ufanye tena reflow, so itakuwa kama routinehata yangu imekata display toka mwezi wa 5 mpaka wa leo sijapata solution ya tatizo langu ila jamaa kanena neno limeniingia kikweli kweli
Mzee hungekuwa unajua computer husingenunua HP PAVILION! coz izo computer kimeo sana kama upo bongo zinakufa vga coz zinaoverheat kutokana na joto la bongo. ni za sehemu za baridi, we uza kwa hasara coz mda si mrefu vga kwesha na ndio mwisho wa mchezo! Tafuta boya uza! Au tumia external feni kupooza machine!
Nautoke hapa mazima!Pc yenye haina CD-ROM kumbe,alafu unakuja kusingizia mawingu apa.Em ka survey bei ya pc alafu urudi kuandika unaiuza 250k tena Kwa MSAADA!
Hilo lijamaa linalouza hiyo hp ni bishi kama mshipa yaani sijui likoje linaelezwa lakini gumu kufahamu n uenda anauza sababu ameambia hiyo kitu kimeo
Heri leee njooo
unichek 0762-647575 nitakuwekea sawa kabisa na isisumbue tena.
Na vp kwa Hp G62 Alcated, nayo naskia ni special kwa nnji za baridi ni kweli?
real brother
ndio hivyo mkuuSo natakiwa niitumiaje ili idumu au niache kabisa kuinunua maana nilipanga ninunue iyo
500000 ukiongeza 75000 tu ukienda kinondoni pale unapata core I 5 kitu kizuri from kwa wazungu
so natakiwa niitumiaje ili idumu au niache kabisa kuinunua maana nilipanga ninunue iyo
Huyu mfanya biashara ana hasira huyo inaonesha hii nashine yake mbovu anaisukuma ili ikamfie mtu