Hp pavilion inauzwa bei nzuri

Zuzu tu maana unabishana na mimi unahisi mimi sina knowledge yoyote kuhusiana na computer? Narudia kusema hapa sio sehemu ya kujionyesha mkuu, GT hanaga mipasho wala udaku bila shaka ni from kwa akina aunt Ally n.k
 
dogo nimekukamata, nimekushika na nimekubonda sehemu nyeti kabisa na kitu cha moto jitahidi kustahimili hilo kopo kawauzie watu wa porini sio huku kwenye mitandao ya kijamii tena ma-great thinkers, eti unatuuzia mayai mabovu tukae kimya kwa sababu ni biashara, jamiiforums tunafanya biashara bora na zenye viwango huwa hatuuzi vitu vibovu. work up ndio maana kila member amekwenda opposite na wewe jaribu kupitia watu walivyo-comment ujiangalie upya.
 
Zuzu tu maana unabishana na mimi unahisi mimi sina knowledge yoyote kuhusiana na computer? Narudia kusema hapa sio sehemu ya kujionyesha mkuu, GT hanaga mipasho wala udaku bila shaka ni from kwa akina aunt Ally n.k
dogo nimekukamata, nimekushika na nimekubonda sehemu nyeti kabisa na kitu cha moto jitahidi kustahimili hilo kopo kawauzie watu wa porini sio huku kwenye mitandao ya kijamii tena ma-great thinkers, eti unatuuzia mayai mabovu tukae kimya kwa sababu ni biashara, jamiiforums tunafanya biashara bora na zenye viwango huwa hatuuzi vitu vibovu. work up ndio maana kila member amekwenda opposite na wewe jaribu kupitia watu walivyo-comment ujiangalie upya...
 
Mzee hungekuwa unajua computer husingenunua HP PAVILION! coz izo computer kimeo sana kama upo bongo zinakufa vga coz zinaoverheat kutokana na joto la bongo. ni za sehemu za baridi, we uza kwa hasara coz mda si mrefu vga kwesha na ndio mwisho wa mchezo! Tafuta boya uza! Au tumia external feni kupooza machine!
 
Nautoke hapa mazima!Pc yenye haina CD-ROM kumbe,alafu unakuja kusingizia mawingu apa.Em ka survey bei ya pc alafu urudi kuandika unaiuza 250k tena Kwa MSAADA!
 
Mkuu Heri lee nina mpango wa kununua desktop yenye uwezo mkubwa wa ku process na pia HDD kubwa for installation of heavy softwares and Heavy Games ushauri wako kuhusu specifications na wapi pa kuipata Bongo? I prefer Dell brand. Ur com,ent will be highly appreciated.
 
Last edited by a moderator:
acha kututania pc ram 2gb haina cd rom na processor ni 1.7ghz halafu ni used tayari unaiuza laki 5?? labda useme 2.5
 
Mkuu true say ...ya kwangu n dv 6 pavilion...ram 6gb, processr n 3ghz II dual core na hdd 500 gb...imekataa display jana...so ntapataje msaada wako ..vp inaweza tengenezeka..naipenda sana my laptop...nichek 0712441899 kma una msaada wowote
 
Hilo lijamaa linalouza hiyo hp ni bishi kama mshipa yaani sijui likoje linaelezwa lakini gumu kufahamu n uenda anauza sababu ameambia hiyo kitu kimeo
 
jamaa unauza shipa kwa bei ndefu wakati kwa bei hiyo unapata brand laptop inbox yenye
specs zilizosimama.
 
Mawingi na wakati umeipigia picha ndani lioni hata aibu hana imekula kwako humu watu hawanunui vitu vibovuuuuuu
 
hiyo ni kweli kabisa brother hata mimi nilishawahi nunua LAPTOP HP PALIVION 15-N001SX baadae ilikuja nifanyia mchezo mbaya sana ikawa ukiwasha inaonyesha imewaka lakini iko BLACK SCREEN
mpaka wa leo nishazunguka kwa mafundi mpaka nikawadharau kumbe insue ndo iko ivyo asante kwa kunifungua macho kama vp ni pm unipe namba zako ili tuongee zaidi ikibidi nikufike ulipo mkubwa
 
Mkuu true say ...ya kwangu n dv 6 pavilion...ram 6gb, processr n 3ghz II dual core na hdd 500 gb...imekataa display jana...so ntapataje msaada wako ..vp inaweza tengenezeka..naipenda sana my laptop...nichek 0712441899 kma una msaada wowote

hata yangu imekata display toka mwezi wa 5 mpaka wa leo sijapata solution ya tatizo langu ila jamaa kanena neno limeniingia kikweli kweli
 
HAHAAAAAA jamaaa muuzaji kasepa!!!!harudii tena kubishania utumbo
 
Mkuu true say ...ya kwangu n dv 6 pavilion...ram 6gb, processr n 3ghz II dual core na hdd 500 gb...imekataa display jana...so ntapataje msaada wako ..vp inaweza tengenezeka..naipenda sana my laptop...nichek 0712441899 kma una msaada wowote
unichek 0762-647575 nitakuwekea sawa kabisa na isisumbue tena.
 
kama upo dar utanichek 0762-647575 nitaiweka fresh na kui-loop isikae isumbue tena

mkubwa niko mbali na dar niko serengeti ila nitafanya mpango mzigo ukufikie asante sana kwa ushirikino
 
Asante sana Heri lee hata mimi umenifungua macho.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…