HP Pavilion dv3 Hard Disc Error message when starting up!

MWILI NYUMBA

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
817
255
Habari zenu wadau,samahani tangu jana nashangaa PC yangu imeanza kunionyesha message inayosomeka Hard Disc Error ninapoiwasha,pia inasuggest ni press f2 kwaajili ya Hard disc error testing nikifanya hivyo then nikipress escape button ndiyo inawaka.Tatizo hili lilianza baada ya kuizima pc manually(Yaani nilibonyeza kitufe cha kuzimia moja kwa moja badala ya kufuata utaratibu).Jamani tatizo linaweza kuwa ni nini?Je hard disc ndiyo kwishnei ni nunue hard disc nyingine?Mbaya zaidi pc yenyewe ina mwaka na nusu tu tangu niinunue ikiwa mpya (Brand new).Msaada wenu tafadhari!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom