Charles piere
Senior Member
- Mar 29, 2012
- 157
- 51
Ni model ipi? kama ni 4540s chukua 500k
INAFANANAJE?
hiko kama hii ulioweka hapa kwenye picha
we unaongelea HP Probook au HP 630?
sidhani kama ni kitu kimoja kuwa specific kuna mtu anaitaka
we unaongelea HP Probook au HP 630?
sidhani kama ni kitu kimoja kuwa specific kuna mtu anaitaka
Umeropoka au umekusudia je upo dar au mkoani kama mkoani sawa naiwe mikoa ya pembezoni dar laki 5 nenda pale freedom samora!Nauza hp probook,ram 4gb,hd 500 gb,intel core i3,webcam,dvd writer,bado mpya bei laki 7.
Umeropoka au umekusudia je upo dar au mkoani kama mkoani sawa naiwe mikoa ya pembezoni dar laki 5 nenda pale freedom samora!
Nisamehe kwakukuofensi!!Ok poa kaka hii ni biashara tu kinacho-matter maelewano.