Heri wanajamvi. Ni tumaini langu mu wazima wa afya.
Nahitaji msaada.
Nina mteja,anatumia Printer ya HP Laserjet 1320. Machines zake zina windows 7,8 na 10. Badhi 32bits nyingine 64bits. Nimesumbuka sana kuiinstall kwenye Windows 10 64bits, maana ports za USB au DOT4 zilikuwa hazionekani,sikukata tamaa baadae nilifanikiwa.
Mzigo nilio nao kwa sasa ni kwamba, inatakiwa kuwa shared. Ilipokuwa installed kwenye windows 10(64bits) nashare; nikibrowse kwenye mashine nyingine naipata, na drivers na install,lakini hapo hapo inakwama siwezi ku print.
Ni USB tu,haina NIC.
Kwa anayeelewa naomba anisaidie mawazo.Maana nimetafuta hata PRINT SERVER nimekosa