HP laptop for sale

HP laptop for sale

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,290
Reaction score
1,428
Nauza laptop HP ni used lakini cosmetic wise in nzuri sana ina 1TB , taarifa zaidi piga simu 0712652110 .Dar
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    139 KB · Views: 34
  • image.jpeg
    image.jpeg
    72 KB · Views: 34
  • image.jpeg
    image.jpeg
    247.8 KB · Views: 39
Punguza bei kidogo mkuu, mzigo ni mzuri nmeupenda
 
Bei umesahau kuweka au kila atakayekupigia simu anapewa bei yake
 
weka picha nzuri zenye muonekano mzuri hasa keys na body nzima. pia ni vema ukaweka lau specifications zake, wapi ilipo, bei ya kuuzia ili kupunguza maswali
 
Afadhali kwa hizo specs zake manake naona siku hizi nimekuwa addicted na PCs, hadi dogo siku moja akaniambia "we jamaa bhana, sasa unatumiaje laptops zote hizo, utadhani Msukuma!" Sijui Wasukuma wamemkosea nini huyu mwehu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom