HP ipo sokoni bei rahisi sana

Watu humu wengi wako kimasihara wanunuzi sikuizi wamekua adimu wengi ni waulizi wa bei tu
 
Mbona risit uliyoonyesha ni ya kuandika kwa mkono?
 
Habar wakuu, asanteni sana pc hiyo nmefanikiwa kuiuza kwa 250 asanteni sana kwamchango wenu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
vizurii,
mm ninatabia moja...
Kuliko kuuza bidhaa yangu ninayoiamini kwa bei ya dharau bora iliwe na mchwaa hakii, na pia naamini katika lugha nzuri kwa mteja ila sio kumbembeleza mteja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…