HP Envy M6 core i5 550,000/=

Kafiti

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
537
220
Inauzwa HP Envy M6 core i5
Processor i5 - 2.60Ghz
Ram 8Gb
HDD 750Gb
Battery 2hrs
Screen size 17'
Used

Kioo kina wino kidogo upande wa kushoto ukinunua nakubadilishia kioo hapohapo kwa gharama zangu, unaondoka na kioo kikiwa safi. Ina scrath kidogo sehemu ya juu ya back case.
Haina tatizo lolote katika matumizi.

Ni laptop nyepesi na nyembamba pia.
0684-14 14 76
Dar es Salaam.
 

Attachments

  • 9.jpeg
    9.jpeg
    41.2 KB · Views: 39
  • 7.jpeg
    7.jpeg
    25 KB · Views: 40
  • 6.jpeg
    6.jpeg
    35.1 KB · Views: 37
  • 4.jpeg
    4.jpeg
    25.8 KB · Views: 35
  • 3.jpeg
    3.jpeg
    35 KB · Views: 44
  • 1.jpeg
    1.jpeg
    34.6 KB · Views: 44
Nashukuru kujua ww ni fundi Mimi pia Nina computer mbili HP zimezima kioo yani zinachora mistari sijui tunaweza kuongea kidogo kuhusu hili!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom