Nahitaji monitor pekee, nipe bei?Iko na Monitor 22 inch kubwa na nzuri kabisa kwa matumizi yako.
Inch 22 hio offer yako ngapi?Nahitaji monitor pekee, nipe bei?
NB: Umefunga PM, kibiashara haifai.
Mkuu ongeza 50.. nicheki 0757497175nina 300 mkuu
Kwa Maana hio hakuna mashine mpya za hiviMzee kweli 3rd generation imetumika week 2 tu???
Mkuu labda useme wewe umenunua used na umetumia week 2.
PM sijafungaNahitaji monitor pekee, nipe bei?
NB: Umefunga PM, kibiashara haifai.