2nd generation bado ni nzuri kwa viwango vya sasa. i3 ya 4th generation inapitwa na i5 ya 2nd.
benchmark nyingi zinaonesha i3 ya 6th generation ndio equivalent na i5 ya 2nd ila hii ni mulithreaded. kwenye single thread i3 kuanzia 3rd gen mpaka 6th gen zote zinaipita i5.
Mkuu hapo ndo huwa unaniacha,Mimi nataka PC nzuri kwa ajili ya kucheza games hizi latest na budget iwe friendly,nishauri mkuu kuhusu hizo core na graphics
Mkuu hapo ndo huwa unaniacha,Mimi nataka PC nzuri kwa ajili ya kucheza games hizi latest na budget iwe friendly,nishauri mkuu kuhusu hizo core na graphics
hio i5 ya juu almost games zote utacheza (cpu yake) hivyo ungehitaji gpu tu.
hii ya pili i3 some games itakuwa faster kuliko ile i5 sababu ina core zenye nguvu (japo mbili) na i5 overall itakuwa faster sababu ina nguvu zaidi ya hio i3 (i5 ina core nne)
ubaya wa hizi desktop za dell/hp/lenovo etc ni kwamba wana power supply ndogo mara nyingi ni 240w au 300w hivyo unakuwa limited kwenye aina ya gpu.
gpu yenye nguvu sana na inayotumia umeme mdogo hivyo kuingia kwenye power supply ndogo ni gtx 750ti. hii inapatikana around dola 100 na inabidi uagizie nje.
pia hii i3 anyouza jamaa gpu yake ni hd4000 (inayokuja na processor) utacheza games nyingi kwa low setting kama unataka ya kuanzia.