HP 550 battery problem

HP 550 battery problem

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
776
Reaction score
437
wadau mi nina shida moja.. Computer yangu imeacha kucharge inaniandikia 40% plugged in, not charging..nikichomoa adapter inazimika hapo hapo..nilivojaribu kuondoa battery na kuchomeka adapter inapiga mzigo kama kawa.. Tatizo betry haipokei moto yani ni kama natumia dekstop.. Msaada tafadhali kwa anayejua tatitzo hili anisaidie.
 
Kama mpaka Jan mwishoni itakua inazingua nijulishe ntakupa yakwangu maana sina kazi nayo tena.
 
Kama mpaka Jan mwishoni itakua inazingua nijulishe ntakupa yakwangu maana sina kazi nayo tena.

poa ntakujulisha maana nikendelea kuwa nayo namgao wa umeme ukianza ntaharibu kazi. Salimia wote hapo unga limited
 
Back
Top Bottom