How would you tell yourself???

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,804
John alikuwa na hisia za mapenzi kwa binti
mmoja siku nyingi sana. Lakini hakuweza
kujieleza.

Siku moja akajikakamua kumuandikia binti
message "I love U so much!, Tafadhali nijibu
hisia zako". Baada ya muda mchache simu yake iliingia
msg nguvu zilimuisha kwa kutaka kujua binti
kajibu nini... akaamua kulala asome msg siku
inayofatia labda angepata ujasiri wa kuifungua
message.

Siku iliyofuata jamaa akaamka mapema
akafagia uwanja, akafanya usafi nyumba nzima
na kazi zote mpaka watu wakamshangaa,
mwishowe akaoga na kupata muda wa
kupumzika na kujitupa kitandani kwa shauku
ili aisome msg aliyojibiwa, kufungua msg
akakuta................................
"Hauna salio la kutosha kutumia huduma hii,
bonyeza *149*22# kupata Tigo niwezeshe.
TIGO EXPRESS YOURSELF

Kama ndo wewe ungejiambiaje/Ungewaambiaje tigo???
 
Teh teh teh,so dat means hata meseji haikufika kwa mlengwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ™
 
simple...weka salio tuma tena....
 
Hahahahaha limemshukaaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…