JK akiinua mguu na kutoka nje ya mipaka yetu.........ana mengi ya kuchangia...........................lakini humu ndani mara nyingi ni bubu au ni mtalaamu wa kumwaga pumba................................kama yale malipo ya DOWANS, kudai uchaguzi uliisha bila ya kuunda tume ya kutafakari vurugu zilizojitokeza kiini chake kilikuwa nini na kubadilisha sheria ya uundaji wa NEC ili iwe tume huru................................njaa na ukame ulikithiri nchi nzima..................................
The guy loves to go A.W.O.L....................................................................on domestic issues..................................lakini inapokuja kutembeza bakuli nje na ndani ya mipaka yetu...................................the guy is all over the place doing what he does best.........................begging....................................................