FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,991
- 47,064
tks alot bro
Sijui kwa nini wanafikiri kuwa nje ya Dar haituhusu!Dar es Sala pekee ndio wanahitaji channel xa ziada?
Research upya baada ya muda..Sijui kwa nini wanafikiri kuwa nje ya Dar haituhusu!
Washazi block tayari. Jana nimeangalia hizo channels,leo jioni nimewasha kisimbuzi mara kikaanza "auto-updating" baada ya hapo,no signal, manually search channels,haipatikani hata moja.
Washazi block tayari. Jana nimeangalia hizo channels,leo jioni nimewasha kisimbuzi mara kikaanza "auto-updating" baada ya hapo,no signal, manually search channels,haipatikani hata moja.
Research baada ya muda..
Nitajaribu asubuhi.