Unaweza kujua Jirani yako anatumia Access Point ya kampuni Gani?
zamani sanaa wireless zilikua na security ndogo kulikua na simple hacking ipo hivi.
Unaandika url then mbele unaeka extenshion ya file yaani mfano
www.jamiiforum.com/sayansi.jpg then wireless inaopen lakini sku hizi its difficult.
Another way unaweza kujaribu kuangalia kama hio wireless wanaprovide free site yoyote then ukafanya reverse ip method au ukatumia dns (kama ni google) then utumie hizo ip katika access point yako