Ndg yangu mimi sio wa hivyo.
Kama unaweza kunisaidia,naomba ufanye hivyo kwani nimejaribu ku google bila mafanikio.
Software ninazopata zinataka kutumia wireless na au bluetooth kupiga simu lakini pia VoIp iliweza kupiga simu bila kuwa na sauti(mpigaji anasikia simu ikiita, upande wa pili vivyo hivyo mpokeaji lakini wakati wa kuongea,hakuna anayemsikia mwenzie pamoja kwamba pesa inakatwa).