How to unroot my phone

Mosahe

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
67
Reaction score
33
Naomba mwenye kujua namna ya ku unroot device anisaidie ili ni unroot simu yangu niweze kutumia new m pesa app
 
Ulijifunza kunya kabla ya kujifunza kutawadha, ushakunya sasa wacha mavi yakunukie
 
Naomba mwenye kujua namna ya ku unroot device anisaidie ili ni unroot simu yangu niweze kutumia new m pesa app
Mimi nafikiri hiyo application INA shida mimi Simu yangu sijajua root lakini application ina sema ni unroot device nikashangaa, nafikiri vodacom waiangalie vizuri hiyo application haiko sawa au bado haijakaa vizuri kwa matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…