How to UNLOCK Encrypt Tv Channel kwenye Dish via Media Com Receivers! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to UNLOCK Encrypt Tv Channel kwenye Dish via Media Com Receivers!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by qq.com, May 29, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ninatumia reciver ya media com 910 kupitia LNB ya C Band ya juu inakopatina ALJAZEERA nimeweza kupata channel za ziada na signal zake ziko full kuanzia signal 50% hadi 98% lakini zinatoa message kwamba ziko encrypted(encrtypt progm) mfano ni pamoja na MGM,Sport,BBC Word,Net GEO,Ten sport nk

  sasa naomba kujua kuna nama ninavyoweza kuzifungua kwenye dish la ft 6?

  nitashukuru
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Hili jambo nafikiri ni gumu kidogo kwani inabidi ulipie ili uapte access,niliwahi kuangaika na hili jambo nikachoka,nilisoma notice kwenye mitandao mpaka nikachanganyikiwa.

  tembelea hapa labda unaweza fanikiwa bro

  how i can unlock encrypted channels - Keyword Stats

  kazi njema
   
 3. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu sijafanikiwa bado
   
Loading...