namshukuru mdau aliyechukua muda wake kunisaidia njia rahisi ya kufanya,nawashukuru pia wataalamu wa lugha kwa kuona nilichokosea tu na kukikosoa kwa kutumia makosa mengine,zaidi hawakuweza kuwa msaada wa nilichohitaji kukijua kwa muda wao na maneno yao walioandika lakini nitazidi kuwaheshimu kwa kiasi hicho walichofanya,ni kazi yao