Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,067
- 34,829
Duh! Yaani huu uzi tangu 2013 haukuonwa?
duuuh? hii elimu nilishawah kuijaribu ila sikufanikiwa nikaamua kutupa kule... .. .
afu ingebid waitafasiri kwa kiswahili ili iwe poa zaidi
duuuh? hii elimu nilishawah kuijaribu ila sikufanikiwa nikaamua kutupa kule... .. .
afu ingebid waitafasiri kwa kiswahili ili iwe poa zaidi
Hivi vitu umejifunza au copy paste from net??
Nafikiri ni swali lililokosa mantiki...cha muhimu hapa ni je kuna kitu umejifunza?
Mantiki una wewe not every information you can trust.......kama ni net atoe site na sisi tukasome vizuri
Ni rahisi sana unaingia Google unabofya psychic powers au telepathy you can get a load of it...