Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
# Deny public access to wp-config.php
<Files wp-config.php>
Order allow,deny
Deny from all
</Files>
[COLOR=#666666][FONT=inherit][I]# Deny public access to wp-config.php
[/I][/FONT][/COLOR]location ~[COLOR=#339933][FONT=inherit]*[/FONT][/COLOR] wp[COLOR=#339933][FONT=inherit]-[/FONT][/COLOR]config[COLOR=#339933][FONT=inherit].[/FONT][/COLOR]php [COLOR=#009900][FONT=inherit]{[/FONT][/COLOR]
deny all[COLOR=#339933][FONT=inherit];[/FONT][/COLOR]
[COLOR=#009900][FONT=inherit]}
[/FONT][/COLOR]
mkuu.@Young Master ni nzuri nimeipenda.
Mkuu Young Master Sipo sharubaru huku Ughaibuni wakati huu ni wakati wa baridi ndio tena tunajiandaa kuvaa maguo mazito na sweta nzito sio Usharobaro miaka 47 mim ni baba mwenye mtoto wa miaka25 bado nitakuwa sharubaro?nimegeuka Mzee majuto ? kila kitu na wakati wake hu ndio wakati wenu sisi tena wakati wtu umeshapitwa mkuu au nimekosea?Shukrani mkuu...naona siku hizi umeamua kuwa sharobaro.
Mkuu Young Master Sipo sharubaru huku Ughaibuni wakati huu ni wakati wa baridi ndio tena tunajiandaa kuvaa maguo mazito na sweta nzito sio Usharobaro miaka 47 mim ni baba mwenye mtoto wa miaka25 bado nitakuwa sharubaro?nimegeuka Mzee majuto ? kila kitu na wakati wake hu ndio wakati wenu sisi tena wakati wtu umeshapitwa mkuu au nimekosea?
mkuu Young Master Avatar yangu umeipenda?nimejikoki nikiwa nataka kutoka nje ya nyumba huwaHujakosea mkuuwa wangu...ila hiyo avatar yako bado nusu nikusahau aisee.
mkuu Young Master Avatar yangu umeipenda?nimejikoki nikiwa nataka kutoka nje ya nyumba huwa
ninavaa hivyo ili baridi isinipige masikioni au hata kichwani mkuu huku wakati wa baridi kunatisha baridi ya huku ni
mbaya sana kali kushinda baridi ya Tanzania kule Njombe, iringa,Makambako ,Arusha ,mbeya na Nairobi hakuna
baridi huko East Africa kuliko Baridi ya ulaya wakati wa baridi mimi huwa sikupendi ulaya natamani nirudi Africa
mpaka wakati wa jua kutoka mwezi wa Tano mwakani ndio kuna nafuu ya joto lakini kuanzia huu mwezi wa 11
haswa kuanzia tarehe 20 ni baridi mtindo mmoja mpaka mwisho wa mwezi wa tano mwakani ndio tena
tunapumuwa mkuu kazi ipo tena ya nguvu kukabili hali ya hewa ya baridi.
Asante sana mkuu Young Master Ubarikiwe Ameen.Duh!!! Kwa kweli kazi mnayo mkuu...ila avatar yako nimeipenda...imetulia.