ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Kama wadau mna uzoefu jinsi ya kuroot galaxy duos pamoja pia na faida zake ni zipi ukiroot simu unanufaika na nini zaidi au asijekuwa napoteza maana halisi. tafadhari tuelimisheni hapa nimesoma pia wanatoa tahadhari unaweza kuharibu simu hii inakuwaje????