Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
Msaada ndugu zangu nilikuwa na unloack zte mf190 kwa bahati mbaya nikafuta dashboad ya airtel ndipo nikaamua nii update firmware lakini baada ya ku update likaja tatizo kwani dashboad ilikuja ya movistar lakini haidetect lain yoyote na niki scan kwa dc-unloacker haidetect na ikidetect inaandika invald sim nilikuwa nauliza kama kuna njia yoyote ya kurestore au kuna firmware nyingine inayo detect naombeni mnisaidie