Ndo nimesoma hiyo thread mda huu,,imenimotivate kuandika hii uzi ili nijue yasije kunikuta kama ya huyo jamaa.Kuna mwenzako huko kapata kipigo safi kabisa.
Nimejitahidi lakini nimeshindwa kumsamehe mke wangu mtarajiwa kwa hili
Habari yenu wakuu, bila kupoteza muda naomba kwenda moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu, naomba sana ushauri wenu kuliko kejeli na kunicheka, maana kiukweli napitia kipindi kigumu sana, baada ya mchumba wangu au mke wangu mtarajiwa, kuniambia kitu ambacho kimeniumiza sana katika moyo...www.jamiiforums.com
Katika hili tupo pamoja aseee!To be honest mademu mabikra binafsi sinaga mzuka nao kabisa.
Ni mwaka wa pili huu sasa. ,off course ni my future wife, na ana deserve kwa kweli ana kila sifa ya kuwa wife.kwanza huwa simhudumii kwa garama nyingi ni ile kawaida tu buku buku,jero za vocha n.k.hapigi vizinga kama wa kwenu.
Hivi shule bado hazijafunguliwa?Wakuu naomba msahau mengine yote afu tu concentrate na hii kitu,,wazee wa kuchimbua makaburi tafadhalini sana,haya ni maisha tu na tunapitia na kufanya vitu vingi,,na mkumbuke mimi ni binadamu wa kawaida na maisha hayohayo unayoyaona kwa wengine.
SASA TWENDE KAZI.
Nna mchumba wangu nampenda sana,lakini hatajawahi kukutanisha sehemu zetu zile ambazo zinakumbana na joto jingi apo kati.
Ni mwaka wa pili huu sasa. ,off course ni my future wife, na ana deserve kwa kweli ana kila sifa ya kuwa wife.kwanza huwa simhudumii kwa garama nyingi ni ile kawaida tu buku buku,jero za vocha n.k.hapigi vizinga kama wa kwenu.
Nisirefushe sana maelezo ntawachosha.
Hatujawahi kujunjuana kwa sababu kuu ya kwake anayoisema kuwa bado yuko BIKIRA hivyo nisiwe haraka kufanya ivo mana mi ni wake milele. Naheshimu maamuzi yake na mwili pia hivyo sitaki kumvurugia mambo yake.
Sasa ndugu zangu mimi nataka nihakikishe kama kweli ni bikira au laah .
Ni viashiria gani naweza kuviona kwa huyu kigori nigundue km kweli ni bikira??
Sina haraka ya kumlazimisha kumuingilia kwani wa kuwaingilia wapo wa kutosha.
Nachotaka mimi ni kuhakiki kama kweli ni bk au ananidanganya tu.
Niishie hapa.
Karibuni;
Kwa nn unasema hapo hakuna bikira,,we umejuaje kama hana.Tangia lini kibenten kikapigwa mzinga?
Halafu alokuambia kila demu anapiga mzinga ni nani?
Au unadhani mademu wote wana tabia kama za kwenu vibenten za kupiga unnecessary mizinga?
Pole sana lkn jua hapo hakuna bikra kwa hiyo hamna haja ya kujifunza namna ya kuitambua bikra.
Unforgetable