Tatzo: Nina POS system nataka ku fanya iwe na uwezo wa kuprint receipt za TRA .. how can i achieve this? Program ime andikwa kwa java..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mashine ya TRA unayotaka kuitumia ni model Gani?
-Kuna Fiscal Printers
-Kuna ESDs
-Kuna ETR ambazo pia zina uwezo wa kufanya kazi na POS
MisifaCan i have your phone number .. mine +86 130 0367 6553
Sent from my iPhone using JamiiForums
Misifa
Mzeee changia point yenye tija sio una comment uswahili.. spend ur time wisely.. ulitaka niwasiliane nae vip?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona wataalam wa IT mnaendelea kuonyeshana umwamba.Sasa kama haupo nchini TRA yann?, au ulikuwa unataka tujue upo abroad??
Hakuna sehemu tumesema anakosa,Naona wataalam wa IT mnaendelea kuonyeshana umwamba.
Lakini mbona sijaona kosa lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakosoa kisa namba kwan amesema yeye yupo wapi?Hakuna sehemu tumesema anakosa,