BizNaughty
Member
- May 22, 2012
- 16
- 1
Katika kuhangaika hangaika namna ya kujiongezea kipato, nikajikuta nalazimika kujiingiza katika whats so called Work At Home or Make Money Online. Changamoto iliyopo ktk biashara hii ni katika kupata Legit Work At Home/Make Money Online Job! Nyingi, ni za kitapeli. Wataalamu wa masuala ya Online Jobs wanabainisha kwamba, Kila penye One Legit (Legal/Real) Work At Home/Make Money Online Jobs, kuna Sixty Fake Jobs! Katika kundi hili, Online Jobs zilizo maarufu ni zile zinazojulikana kama MLM na PTC (Paid To Click).
HINT TO ENTER WORK AT HOME/MAKE MONEY ONLINE JOBS!
The best way to be safe kwenye hii biashara ni kutofanya malipo yoyote in advance. Ipo baadhi ya mitandao ambayo inamtaka Member kulipa Registration Fee. Be careful, unless you have full information about the site. Wengi ni matapeli. Mbaya zaidi, hivi sasa kuna baadhi ya mitandao ambayo ina-act kama Legit News Centres! Ingawaje machoni wanaweza onekana kama ni chombo cha kawaida cha habari, lakini kimsingi unakuta ni mitandao ile ile ambayo shughuli yake ni kutangaza hizi Fake Jobs! Mfano mzuri wa hiyo kitu ni mtandao mmoja unaofahamika kama News Daily 7! Hawa jamaa ni Professional Scammers! Ukifungua mtandao huu unaweza kushawishika kwamba ni kweli Legit News Website! Humo utakuta Ads za kampuni mbalimbali za utangazi duniani kama vile CNN, BBC, Fox News n.k! Yote hiyo ni katika kupata attention!
NINI AMBACHO NINGEPENDA KUSHAURI.
Kama nawe ni mwenzangu ambae unatafuta namna ya kujiongezea kipato, basi usichoke till you get enough! However, be careful with many Work At Home/Make Money Online Jobs. Kama nilivyotangulia kusema hapo kabla, nyingi ni feki. Mie katika kutafuta various information about hii biashara, nikakuta na huu mtandao : NeoBux: The Innovation in Paid-to-Click Services . Hawa jamaa wanahusika na PTC Jobs. Hawa, angalau nimeshawishika nao. Si tu kwavile kuna rafiki yangu mmoja ndie alienipa infos zao, hapana! Nilijaribu kwanza kutafuta infos mimi mwenyewe. Sehemu ambayo ilinishawishi kuwaamini ni pale nilipotembelea Forum yao ambayo members wanajadili mambo mbalimbali. Kuna forum moja iliyokuwa na title: Making a Living Out of Neobux? Kuna michango mbalimbali ambayo karibu yote ni POSITIVE! Na haielekei hata kidogo kwamba wachangiaji ni among of neobux employees kutokana na michango yao. Kwa kiasi fulani, hawa wamenishawishi .! Hata hivyo, jambo moja lipo wazi, ni kazi inayohitaji commitment ya hali ya juu if you really wanna make money and not cents! Labda jambo lingine, kama upo busy and still you wish to make more money, then inabidi uingie mfukoni na kukodi Referrals! Ukibahatika kupata good refferals, basi unaweza kutengeneza hela nzuri sana!
Let me end here, ila kama unataka kujaribu bahati basi just get registered hapa:
http://www.neobux.com/?rh=4E617344617A Hata hivyo, ukishajisajili, jaribu kwanza kutembelea FORUM kisha nenda kwenye sub forum ya Business and Finance. Ni muhimu kutembelea hapo ili ukajiliridhishe kwanza.
WISH YOU ALL THE BEST.
NB: Kwa wale wapenzi wa different type of Videos, Online and Offline Games, Online Shopping and many more, then try to visithttp://www.myperfectinternet.com/?refid=2d9c0 Ukishafungua, click Join Now kisha enter your email adress and password. Ukisha-confirm password, click Terms, na ikishafunguka, scroll down na u-agree kisha tena click Privacy Policy na agree ndipo u-click Join Now for the second time.
Daah its like i was looking for you,i once have met with thse scammers,i wasted almost three hours reading their endless stories but at the end after registering they wanted some payments from me with alot of assuarance but because i was so cautious i just closed the window since they alredy annoyed me ila honestly i was looking for such job...let me try this link u provided
Thank you
I need to know more about this as I keep searching and your thread is quite informative Naughty...just curious... how do the make the payments? how much can a commited person expect to make in case they devote the procious time to do this?
Edo,BizNaughty kaka me binafsi nakushukuru sana, to be honestly ni watu wachache sana anaweza kupoteza muda wake kumuelimisha myu asiyemfaham but u jus did it tena u sounded commited and willing to help,Much respect bro!!
Nway lets come to buzness,yesterday i registered kywa hawa jamaa wa NeoBux n am now a member but i was like blind didnt know wat to do but at least i had an idea kwamba its money making web or PTC as u said,
After reading ur details now i think i have a good foundation to start with..
Qn
Mbona kama i saw very few advertisements hayo 100 per week ntayapata wapi?
Thank you in Advance Bro!
Edo,
u're right mkuu....unajua yale matangazo yanakuwa pale for only 24 hours then yana-expire na yanawekwa mengine.So, inawezekana ulipo-log in matangazo yalikuwa yamesha-expire but am very sure ukiingia tena utayakuta tu.
Edo,Owk bro BizNaughty!!
i am now in it trying to do wat i gat to do, i now hav 0.024..thanks for the support n advice...i hope u wont get tired of assisting me ahope to do this thing 4 sometimes..
Nice weekend n stay blessed
For serious people, I'd like to recommend this site as well: Paid to Click Advertising at ClixSense , plus this one, http://www.earnparttimejobs.com/index.php?id=4154902 . Ukiwa aggressive enough with this site, trust me...you can make alot of money ingawaje i trust neobux as well coz' i have been in both websites for couple of months now.
ebwana hiyo earnparttimejobs does it real pay or just another big SCAM.:scared:For serious people, I'd like to recommend this site as well: Paid to Click Advertising at ClixSense , plus this one, http://www.earnparttimejobs.com/index.php?id=4154902 . Ukiwa aggressive enough with this site, trust me...you can make alot of money ingawaje i trust neobux as well coz' i have been in both websites for couple of months now.
sasa naona wabongo tumeamka kwa hizi ishu ila mimi ni mmoja kati ya members wa neobux na buxp lakin tatizo mojawapo nililokutana nalo ni kuhusu zile payment processor ,mimi natumia alertpay{payza} but ninashindwa ku-fund account yangu ya alertpay kutoka kwenye bank account ili ni rent referrals kwa ajili ya kuongeza kipato zaidi.
kama kuna mtu mwenye alertpay account ambayo ni verified ningependa kuongea nae BIG DEAL
Just to warn you, clixsense ni kwa wamarekani tu. So, usipoteze nguvu huko. Heri kujiunga na hizi sites ambazo zinalipa uhakika:
Mkuu wangu hiyi kitu sio kweli kabisa...narudia SIO KWELI! Nenda kwenye User Agreement ya Clixsense na utakuta eligibility: Hebu angalia hapa chini kuhusu eligibility:
"1. ELIGIBILITY
You must be 16 years of age or older to participate in ClixSense. ClixSense is open to US and International members and is void where prohibited by local governing laws.
In an effort to ensure the integrity of the ClixSense advertising program, the persons in any of the following categories are NOT eligible to participate in the ClixSense program in the capacity of ad viewer: (a) persons who are employees or agents of ClixSense, or its respective parents, subsidiaries, affiliated companies, or service agencies, or independent contractors of any of the above organizations; and (b) persons who are immediate family (defined as mother, father, sister, brother, daughter, son or spouse) of any person in any of the preceding categories, regardless of where they live. Nothing herein shall be construed to prohibit a person's right to maintain a ClixSense account for advertising purposes nor does this policy restrict the promotion of a person's affiliate link."
Je, ni nani hao INTERNATIONAL MEMBERS?! Hebu pitia tena User Agreement na utagundua kwamba they're not for US alone....just join here and make your move: Paid to Click Advertising at ClixSense . I trust Clixsense than any other PTC including Buxes, with exception of neobux. Unajua many PTCs wanatumia sana brand ya "bux" may be kwavile wanafahamu neobux ni 100% trusted. If Someone would ask me which PTCs should i recommend to them basi ni neobux: http://www.neobux.com/?r=NasDaz pamoja na clixsense: http://www.clixsense.com/?4209540 . Tatizo kubwa ninaloona kwa clixsense ni ile policy yao ya kutotumia rented referrals kama wafanyavyo neobux. Lakini ukiangalia vizuri, policy hiyo ni mzuri sana kwavile inatoa equality among members. Policy ya kutumia Rented Referrals inayotumiwa na neobux inafanya maskini kama sisi tusiwe na uwezo wa kutengeneza mkwanja wa nguvu na kutoa nafasi kwa wenye uwezo kuwa ndio wenye kutengeneza pesa nyingi zaidi.
[/QUOTE]Jaman am very agressive i need to learn more about ths jana nilijiunga na neobux nikafanikiwa ila nilivolog in nimeshindwa kuelewa how 2get money nimeclick matangzo nambiwa nijirejiste je is that how it works.? Plz help me. Ukiwa aggressive enough with this site, trust me...you can make alot of money ingawaje i trust neobux as well coz' i have been in both websites for couple of months now.[/SIZE]