How to identify a good wife material

Kwa dunia hii ya leo ambapo uongo umekuwa ni moja ya nguzo za penzi ni ngumu sana kumpata mke wa kweli......
 
Wife material alifariki,kaburi lake pia halijulikani lilipo.
 


Good wife material or simply wife material? Unless there is a BAD wife material, then the title stands!
 
vigezo viiiingiii kero tubu nyie wenyew mizigo tu mmxxxiuuuu
 
Hivi kujitambua maana yake ni nini? Huu ni msamiati mgumu sana kwangu...
Kujitambua kwa mwanamke ni ile kujijua yeye ni nani, nguvu zake, thamani ya uanamke wake, akiamua kuwana mahusiano serious anjua nini anataka kwenye mahusiano na atapata vipi.! Kujitambua kwake kunamfanya achague mtu bora na avutie watu(wanaume) bora kwenye maisha yake..mwanamke anaejitambua automaticaly anakuwa mvumilivu, anakuwa anajua maisha hasa kutafuta maisha, automaticaly anajua malezi nk..ila sasa kuwa na hizo quality inahitajikaziya ziada na majaliwa ya mungu
 
Hasa kuielewa hiyo dhana ya "kujitambua" manake kwa wengine kujitambua ni kuwa juu ya kichwa cha mwanaume by any means.
Ni kweli mkuu..ukimkuta mwanamke anajitambua maisha yanakuwasafi mno..ila unfortunately malezi ya watoto wakike wabongo hayawafanyi wawe wanajielewa na kujitambua
 
How to identify a good husband material,......place a 'HE' on the 'SHE', on numbers 1 to 10 above.
 
 
Last edited by a moderator:
11. She must not be scared of AIDS....maana Wanaume wa siku hizi wote micharuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…