Tumia whatsapp plus tu ndo inahiyo option, ukisha iweka nenda menu, privacy utaona kama kwenye picha hapo chini, kumbuka ili uweze kutumia hii app lazima utoe kwanza whatsapp unayotumia, namaanisha ulotoa play store or whatever ulikoitoa, kumbuka kubackup conversion.