Asante sana kaka,najitahd kuachana nayo ila issue n kipi cha kufanya ili yaondoke kichwaniPole sana... achana nazo fanya mambo mengine...
Kua mtu wa kuupuzia mambo yaache yapite...
Kipi cha kufanya... Jaribu kua na dharau, hutakaa uwe na stress... badala yake utawapa watu stress...Asante sana kaka,najitahd kuachana nayo ila issue n kipi cha kufanya ili yaondoke kichwani
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
AsanteKipi cha kufanya... Jaribu kua na dharau, hutakaa uwe na stress... badala yake utawapa watu stress...
Sawa mkuu,napokeaUsiyape muda mawazo yanayokuletea stress. Fanya shughul zako kama usafi wa nyumbani wakati mawazo yanapokuzonga.
Mm n rijali mkuuPata Habari Za Huyu LATA MANGESHTAR
Mwanamuziki Amezaliwa Na Kufa Hajawahi Kuguswa Wala Hakuacha Mtoto
Stress Hutapata Kamwe
Hahahhahahha masiharer hayooWewe huna stress sema huna hela..
Jamaa kanipiga na kitu kizito[emoji1787][emoji1787]Hahahhahahha masiharer hayoo
amen
ofcoz stress tunazo sema ndo ivo mkubwa mkubwa tuu sku zote[emoji4]Mnajidanganya sana mjue [emoji3][emoji3]
Kwamba mnazani wenye hela hawanaga stress?
Wanazo sana tu!
1. Piga tizi la maana, cheza mpira kama unaweza, gym 2 hours
2. Piga story na wana hasa wenye busara na waliokuzidi don't stay home alone
3. Kula 3 times per day
4. Soma sana different books including holy books
5. Weka time limit ikibidi lala saa 10 pm kamili
6. Do sex 1-3 times a week inapunguza Sana stress.
7. Tafuta ufumbuzi wa Mambo yanayokupa stress: huna hela-weka ramani za hela, ndoa inakuchanganya-tafuta suluhu, Domo zege-jifunze public speaking, afya changamoto-muone daktari.
8. Nenda night club once per month, cheza mziki tu.
Nakazia
Asante mkuu ila hyo ya mwisho hyo[emoji23][emoji23][emoji23]1 Piga tizi la maana hit gym 2 hours
2 Piga story na wana don stay home alone
3 Kula 4 times per day
4 Soma sana different books
5 Weka time limit lala saa 5 kamili
6 Stay away from porno jiepushe na punyeto bro
Mayday mayday...... Am signing out
Sawa kakaKama vyote umejaribu havijasaidia tafuta malaya mkali mjifungie nae Lodge siku 3
Ana roho mbaya kama aliyempa Mbowe kesi ya ugaidi.Jamaa kanipiga na kitu kizito[emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app