How to get cydia without jailbreak

How to get cydia without jailbreak

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Wakuu poleni na mihangaiko ya Maisha....... Naombeni Masada wenu Nina Ipad 2 Ina run iOS 7.0.6 naitaji kuinstall cydia bila kujailbreak, mwenye program au mbinu ya kufanya naombeni mnisaidie malengo yangu ni kuinstall whatsapp na IPA kuweza kupiga cm na kupokea SMS . NASHINDWA KUJAILBREAK KWA SABABU NIKISOMA KWENYE MTANDAO INAONESHA EVANSION7 ya kujailbreak haiko compatible KWA ipad 2. Na IPA Kama yupo mtu alie fanikiwa naombeni maujanja please NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU
 
Haiwezekani unachotaka kufanya, kazi ya Jailbreak ni kukuwezesha kuinstall apps nje ya App Store ya Apple, kwa kuwa Cydia haipo AppStore basi haiwezekani kuiinstall bila Jailbreak.
So ni utafute mbinu nyingine ya kujailbreak au usubiri mpaka watu wafigure out how to jailbreak Ipad 2 na iOS version hiyo.
 
Asante mkuu ngoja nisubilie
 
Inawezekana..Tumia iTools au fungua safari andika pale kwenye address bar
????? - iPhone,iPad,iTouch ???????ipa???????,???????iPhone5?iPhone4S,??iOS6.1????
..apps zote za kulipia utapata zote free ndo naitumia..jst try it!!!lakini inaandika kichina but icons ndo itaku-guide

Mkuu msaada hapo kwenye tuta, nimejaribu kudownload some apps kwenye iyo adres ya kichina uliyopost kwenye kuzifungua inaniomba apple user name na password Nikiziweka zinagoma kufunguka why?
 
mkuu msaada hapo kwenye tuta, nimejaribu kudownload some apps kwenye iyo adres ya kichina uliyopost kwenye kuzifungua inaniomba apple user name na password nikiziweka zinagoma kufunguka why?
mkuu vipi umefanikiwa kudownload cydia au whatsapp?
 
Nime download whatsapp peke yake, lakini nikiifungua inaomba user name na password ya apple account lakini nikiweka inagoma kufunguka.
 
Wakuu nami nina Iphone 3gs yenye 6.1.3 naweza ku-jailbreack naomba msaada
 
Wakuu poleni na mihangaiko ya Maisha....... Naombeni Masada wenu Nina Ipad 2 Ina run iOS 7.0.6 naitaji kuinstall cydia bila kujailbreak, mwenye program au mbinu ya kufanya naombeni mnisaidie malengo yangu ni kuinstall whatsapp na IPA kuweza kupiga cm na kupokea SMS . NASHINDWA KUJAILBREAK KWA SABABU NIKISOMA KWENYE MTANDAO INAONESHA EVANSION7 ya kujailbreak haiko compatible KWA ipad 2. Na IPA Kama yupo mtu alie fanikiwa naombeni maujanja please NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU

Hiyo evasion7 inakubali vizuri kwa windows 7na windows8 , me najailbreak kwa hiyo evasion 7 iko poa ,, may be pc yako huja update net framework, jaribu ku update hicho ki utility programme .. pia watsap kwenye cydia imenigomea, nimepata viber... cydia software zake nyingi currently ni za ios 6 .. ! try that ikifail ntarudi sa hivi nipo safarini ningekuwekea kila kitu
 
Kwani apple account yake ya app store..iko sync na itunes..yani imeonganishwa na itune store?
 
Hiyo evasion7 inakubali vizuri kwa windows 7na windows8 , me najailbreak kwa hiyo evasion 7 iko poa ,, may be pc yako huja update net framework, jaribu ku update hicho ki utility programme .. pia watsap kwenye cydia imenigomea, nimepata viber... cydia software zake nyingi currently ni za ios 6 .. ! try that ikifail ntarudi sa hivi nipo safarini ningekuwekea kila kitu

Thnx mkuu nakuombea Ufike saalaama uweze kunipatie madude
 
Wakuu hatimae nimesha jailbreak ipad yangu KWA evasion7 na nine fanikiwa kuinstall whatsapp , mwenye kujua apps KWENYE cydia inayoweza kuifanya ipad owe nauwezo wa kupiga cm na kipo kea SMS naomba tafadhar tujuzane,
 
Back
Top Bottom